Karibu Mnadani/Gulio Mtandao
Mnadani /soko gulio -wafanyabiashara/ watoa
huduma kujitangaza na kuuza bidhaa .
Pata commission kwa kuuuza unachokipenda kwa
kushare kwenye mitandao yako ya kijamii moja kwa
moja toka Mnadani .
Tangaza bidhaa/huduma kwa kushiriki Mnada online
kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii,
Brands Connect.
Kutana directly na wateja wako kupitia Mnada Mtaa
kwa mtaa.
Mnadani#LifeKiulaini.